HILI NI DIMBA LETU PALE MITAA
National stadiumu,jamaa flani wa mitaa ya bonde lakuzalisha mbu... walikuwawachezana watoto wa kariakoo,wa zee wa 10,000.aka weku wa msim.
WATOTO WA KARIAKOO,,,,,,,AKA SIMBA SPORTS CLUB 2011-2012
NB;si unajua pale chini full kelele za watoto wa mjini,,alafu ule upande hivi full soko.
WAZEEE WA BONDE LA MBU....AKA YANGA SPORT CLUB 2011-2012
NB;si unajua kwa hivi pale palifunguliwa shamba la project ya mb.....uuuuuu!au?
Hahahaaakamanda Noel bwana alikuwa akitoa support ya kumpa yanayojiri
kwa mshabiki mmoja wa taifa kubwa kule state!jamaa alikuwa anasumbua kinoma.!
JAMAA HAKUFICHA HISIA ZAKE BWANAAAA!!
KAMERA HAIKWEPEKI KAKA INC..POLE!! JIPANGE UPYAAAAA!!
WIVU TU KISA TULISHINDA AKAGOMA KUPIGA FULL PIC..AAH TINY NOMA!
02 NOV - LEO TUCHEKI ENZI HIZO KIDOOGO
BIG GIANTS; Sinza mmoja hiyoo.. 1997 ----L TO R;-
(Big hatty)Hatuey.Jose,Martin(mzee wa mikumi),Charls,Mbagoo,
Geophrey Kundy,Sam.
Master na long x friend wake Alice 2003
Full smile;Da Bety na mdau kalokola-nshomile!,Mgina.....Dr,Manyika!
Full shangweeee; Aga!Aga!Aga!...
Weee!weee!Kreti napiga......Igweeeeeeeee!
Dah! THIS is nice
WINE ZILIRINDIMAAAA!! TEE
Agha agha !!!!
No comments:
Post a Comment