PAMBO LA NYUMBA

                       SEBULE


















HII NI KATI YA ZILE KALI NINAZOZIPENDA







CHEKI HIYO SOFA HAPO ..PAPO.
KAPETI NYEUSI STRIP NYEUPEE..
HAAA JIONEE UBUNIFU











SOFA SIMPLE N VERY UNIQ, TAZAMA RANGI  ZA MITO...




UKIRI WA MOROGORO HUOO BABAA,SIMPLE 
AFRICAN- EUR-MIX CULTURE
HAPAO NILIWEKA KICHWA NA KUPANUA KIPAJI.. MWENYEWE... 
























 EMBU TAZAMA HIYO SOFA ILIYO SIMPLE,COFFE TABLE GOGO  NACHURO.
 KAMA ILE  YA MDAU PALE JUU..UNAWEZA NDG YANGU HUREEE MZEE WA MOROGORO
 JARIBU UBUNIFU WAKO LEO.
     TAZAMA HIZO SIDE COFFE TABLE

             NICE LIGHT SERVER WALLS,SOFA LETHA CAVA.
INAWEZEKANA KUPAMBA NYUMBA YAKO HIVI MDAU,KAPETI,NA SOFA HIYO IPO   FURNITURE ROOM KIBAO,NENDA MLIMANI,QUALITY PLAZA,N.K
WINE  ZIMEJAA BONGO,WALL SET FLAT SCREEN.
   

    CHUKUA HATA DIZAINI YA HIYO MITO NA TENGENEZA PALE KWAKO,VERY UNIQ .
    NI RAHISI SANA MAFUNDI WETU WANAWEZA BONGO,... WAAAAPOO!
        MDAU WANGU   RIYOO PALE A TOWN ANA HIYO SOFA MZEEE HIVYO HIVYO!!
        NA ILITENGENEZWA HAPAHAPA ...KITAMBAA TU  DUBAI , BAASI.
   
 TAZAMA ZILE PAZIA KULE NYUMAAA NA HIZO STULI.......ZINATENGENEZWA.





No comments:

Post a Comment