Sunday, September 16, 2012

TUIMBE JUMAPILI

                                                                                


Thursday, September 13, 2012




 kim kardashian na muzee kanye west wakiwasili marchesa spring show ktk newyork fashion week..jana 12/9/2012 .penzi la kolea




Baada ya kujifungua mwanadada bbbyonce ambaye sasa ni mama @asema~ watch out~ 
uzi ni ulele``she is back``

Tuesday, July 24, 2012

BREAKING NEWS

RAIS WA GHANA  AFARIKI DUNIA,.
                          Rais wa Jamhuri ya ghana   John Evans Atta Mills   amefariki dunia


Sunday, July 8, 2012

TUIMBE JUMAPILI

                                                  BABA YANGU-CHRISTINA SHUSHU

           USIKATE TAMAA-MARTHA MWAIPAJA          
 NINA WIMBO- CHRISTINA SHUSHU
                   
 
NJOO ROHO MTAKATIFU-FANUEL SEKEDIA

                       

Monday, June 11, 2012

UTAMADUNI WETU NA VIJIJI VYETU

                                          Unakumbuka yule dada yako alipokuwa anapika ugali  wa ukoo?,aah
                                          sasa pale nkunyumba mlikuwa 15 sasa si ukoo huoo!
                                      Duh,sio sababu uko mjini unasahau kutuma hata vikhanga  kwa dada zako
                          waliokulea kule kijijini,sa hizi unamkorogo mjini unawaona chi mali kitu walikulea.
                                   Mshikaji ndio wewee,hapa ni pale ulipokuwa darasa la Tatu..AAh.. Meneja! 
                                     Leo unasahau kwenu?nenda japo karekebishe hako ka mlango!duuh!
                            AAh! leo unajifanya uko chaati,da degree yako ya utawala,embu cheki hapa 
                           Enzi ileee unakaribia ukigoli kule kijijini kwenu.Saidia yule mtoto wa dada yako
                          pale kijijini,unajisikiaje ukikumbuka enzi hizi!Unatanua tu ndani ya R4ndugu zako 
                           wanaumia na njaaa tu kule! badilika!!
       Eti  leo unapeleka nguo dry cleaner....Ona ile ya enzi zako,ulichafua sana mazingira weweeee!
        Tabasamu injeinje enzi zako,Leo nyodo kibao,acha hizo dadaa saidia kidogo kwa wasiokuwa
        na  kule kwenu,wape tabasamu lile la upendo ulilokuwa nalo.

Aaah mkitembelewa na wwazungu si kushangaaa huko?aah wamisionari (mapadri)
waliwasaidia sana ,kwa nguo,vyakula vitabu na mavazi...Leo hawapo tena,saidia jamiii yako
jitolee na wewe  ndugu.
                                                     WADADA WENGINE KAMBA
WENGINE MDAKO

Monday, June 4, 2012

UTAMADUNI WETU NA VIJIJI VYETU





                     EMBU  KUMBUKA PALE KIJIJINI MLIVYOKUWA MNAISHI KABLA YA KUJA MJINI

MAMA,BIBI,SHANGAZI AU JIRANI MAMA WA KIAFRIKA AKIUZA NDIZI 
NA MATUNDA  KUJIONGEZEA KIPATO.
WE WA KIUME  UKAKATE KUNI KIJANA DADA MTONI NA MAJI

Sunday, June 3, 2012

FURAHIA VIGOMA

                    TUIMBE  JUMAPILI
VIGOMA