sasa pale nkunyumba mlikuwa 15 sasa si ukoo huoo!
Duh,sio sababu uko mjini unasahau kutuma hata vikhanga kwa dada zakowaliokulea kule kijijini,sa hizi unamkorogo mjini unawaona chi mali kitu walikulea.
Mshikaji ndio wewee,hapa ni pale ulipokuwa darasa la Tatu..AAh.. Meneja!
Leo unasahau kwenu?nenda japo karekebishe hako ka mlango!duuh!
AAh! leo unajifanya uko chaati,da degree yako ya utawala,embu cheki hapa
Enzi ileee unakaribia ukigoli kule kijijini kwenu.Saidia yule mtoto wa dada yako
pale kijijini,unajisikiaje ukikumbuka enzi hizi!Unatanua tu ndani ya R4ndugu zako
wanaumia na njaaa tu kule! badilika!!
Eti leo unapeleka nguo dry cleaner....Ona ile ya enzi zako,ulichafua sana mazingira weweeee!
Tabasamu injeinje enzi zako,Leo nyodo kibao,acha hizo dadaa saidia kidogo kwa wasiokuwa
na kule kwenu,wape tabasamu lile la upendo ulilokuwa nalo.
Aaah mkitembelewa na wwazungu si kushangaaa huko?aah wamisionari (mapadri)
waliwasaidia sana ,kwa nguo,vyakula vitabu na mavazi...Leo hawapo tena,saidia jamiii yako
jitolee na wewe ndugu.
WADADA WENGINE KAMBA
WENGINE MDAKO
No comments:
Post a Comment