Monday, June 4, 2012

UTAMADUNI WETU NA VIJIJI VYETU





                     EMBU  KUMBUKA PALE KIJIJINI MLIVYOKUWA MNAISHI KABLA YA KUJA MJINI

MAMA,BIBI,SHANGAZI AU JIRANI MAMA WA KIAFRIKA AKIUZA NDIZI 
NA MATUNDA  KUJIONGEZEA KIPATO.
WE WA KIUME  UKAKATE KUNI KIJANA DADA MTONI NA MAJI

No comments:

Post a Comment